TAASISI YA KUELIMISHA WANAWAKE YA USAMBARA MAGHARIBI

 

 

 

 

  TAASISI YA UELIMISHAJI WANAWAKE YA USAMBARA MAGHARIBI******KUMUELIMISHA MWANAMKE NI KUIELIMISHA JAMII NZIMA!

Monday, March 19, 2007

WANACHAMA WA WUWE

Mpaka sasa WUWE ina jumla ya wanachama 20, ambao majina yao yameorodheshwa hapa chini.
1. Asha Shellukindo.........Mwenyekiti
2. Sophia Sheikbaha.........Katibu
3. Safina Mmbaga.............Mhazini
5. Eva Yona.........................Mkufunzi
6. Shahili Mbwana..............Mkufunzi
7. Lela Sheshe.....................Mwanachama
8. Apasiana Massawe........Mkufunzi
9. Zuhura Saadati..............Mkufunzi
10. Fatma Makorongo.......Mkufunzi
11. Mary Rimoy..................Mwanachama
12. Mary Msemo.................Mwanachama
13. Zenobia Mtenga............Mkufunzi
14. Aziza Hamisi..................Mkufunzi
15. Fatina Kaniki.................Mkufunzi
16. Zamana Shellukindo.....Mwanachama
17. Mwanahamisi Kaniki.....Mwanachama
18. Miriam Chamshama......Mkufunzi
19. Mwanahawa Sheshe......Mwanachama
20. Mariamu Hussein..........Mwanchama

JINA LETU: WUWE
MAHALI TULIPO: LUSHOTO, TANGA, Tanzania
KUHUSU WUWE:
ZAIDI

YALIYOMO

MASKANI
WANACHAMA WETU
WASILIANA NASI

WASHIRIKA WETU

WANACHAMA WETU
TaTEDO
HALMASHAURI YA WILAYA YA LUSHOTO
CAMARTEC

WORLD DAY OF PRAYER
GDS

WUWE

Karibu katika tovuti hii ya WUWE. Hapa tutakuwa tunaweka mada mbali mbali ambazo zinahusiana na kazi zetu, ambazo lengo lake ni kuwasaidia wanawake kwa namna mbalimbali, hasa katika masuala ya elimu na ujasiriamali. Tunaamini kuwa kumwelimisha mwanamke ni kuielimisha jamii nzima, hivyo tukisaidiana kutoa elimu tunaamini tutafanikiwa.

HIFADHI

WUWE





 

MSANIFU: MWALYOYO


©WEST USAMBARA WOMEN EDUCATION (WUWE) 2007. All rights reserved.